Tanzania yasitisha bei mpya ya vifurushi vya data

Watumiaji wa mitandao ya simu nchini Tanzania wamepata ahueni japo ya muda baada ya serikali kusitisha kutumika kwa kwa bei mpya za vifurushi, hadi suala hilo litakaposhughulikiwa.

03 Abril, 2021